MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUWA MAKINI NA TAARIFA UNAZOPOKEA…
Uongo na uzushi huwa unasambaa kwa kasi kuliko ukweli. Hiyo ni kwa sababu uongo uba mbwembwe nyingi na unagusa hisia hivyo kusambaa kama moto. Ukweli hauna mbwembwe wala hauchochei hisia. Hivyo kuwa makini sana na taarifa unazopokea, kama huwezi kuzithibitisha kama ni kweli au la, angalia kasi ambayo taarifa hizo