MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UPWEKE WA SAFARI YA MAFANIKIO…
Unapoamua kufanya makubwa na ya tofauti, utajiona kama uko peke yako. Dunia itaonekana kutokujali kabisa na kusubiri uanguke ili ikucheke. Lakini manbo hayako hivyo, kuna wengi sana ambao wako nyuma yako, japo wapo kimya kimya. Watu hao wananufaika na kile unachofanya na pia wanapata matumaini ya wao pia kufanya makubwa.