MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2422; Siyo kweli..
2422; Siyo kweli.. Siyo kweli kwamba umeshafanya kila kinachowezekana kufanyika, kuna vingi hujafanya, hivyo endelea kufanya. Siyo kweli kwamba umeshamfikia kila mtu, kuna wengi hujawafikia, endelelea kuwafikia wengi zaidi. Siyo kweli kwamba kila kitu kimeshasemwa, bado dunia haijasikia sauti yako. Siyo kweli kwamba huna muda, hujaupangilia tu vizuri. Chochote unachojiambia