MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUJIDANGANYA NI RAHISI…
Safari ya mafanikio ni ngumu, lakini kujidanganya ni rahisi. Kwa kuwa wengi wanapenda urahisi, hivyo hukimbilia kujidanganya. Kwenye safari yako ya mafanikio, ukweli ni kile unachotaka na uongo ni chochote unachojiambia ambacho ni tofauti na unachotaka. Je wewe unachagua nini, kuwa upande wa ukweli kwa maana ya kupambania unachotaka? Au