MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2425; Yaweke maoni sehemu sahihi…
2425; Yaweke maoni sehemu sahihi… Huwa kuna kauli kali sana kuhusu maoni ambayo inasema; maoni ni kama tundu la choo, kila mtu analo na ya wengi yananuka. Huwa tunayapa maoni ya watu uzito ambao hayastahili. Tunaona kama maoni hayo ndiyo ukweli tunaopaswa kuufuata. Lakini unapaswa kujua maoni ni maoni tu,