MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TATIZO LINAANZIA KWENYE KUTOKUJIAMINI…
Mstoa Marcus Aurelius amewahi kusema anashangazwa na tabia ya binadamu, huwa tunajipenda wenyewe zaidi ya tunavyowapenda wengine, lakini tunayathamini maoni ya wengine kuliko yetu wenyewe. Hili ni tatizo linaloanzia kwenye kutokujiamini. Unapokuwa hujiamini wewe mwenyewe, kile unachofanya na kule unakotaka kufika, unashindwa pia kuyaamini maoni yako mwenyewe. Unaona maoni ya