MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UPANDE WA PILI WA MAFANIKIO…
Tunapoyatafuta mafanikio, huwa tunaangalia upande mmoja pekee, ambao ni upande mzuri wa kupata kile tunachotaka. Lakini mafanikio huwa yana upande wa pili, ambao ni kuwapoteza baadhi ya watu wako wa karibu. Kuna watu walikuwa na wewe kabla hujafanikiwa, lakini baada ya kufanikiwa wanageuka kuwa maadui. Unapaswa kujua hili, kwamba kadiri