MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2430; Unaona kile unachotaka kuona…
2430; Unaona kile unachotaka kuona… Sisi binadamu kwa kujidanganya huwa tupo vizuri sana. Ila huwa hatujui kama tunajidanganya, tunakuwa na ukakika tumesimama kwenye ukweli. Ila ni mpaka pale uzio ulio kati ya ukweli na uongo unapoanguka ndiyo tunaona wazi tulikuwa tunajidanganya. Huwa tunaona kile tunachotaka kuona na kukusanya ushahidi unaoendana