MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KILA MTEJA NI WA KWANZA KWAKO…
Kila mteja unayemhudimia, mchukulie ndiye mteja wa kwanza kwako na wa kipekee kabisa. Kwa sababu hivyo ndivyo mteja anavyojichukulia. Wewe unaweza kuwa umeshawahudumia wateja wengi na umechoka, ila mteja mwingine anapokuja hajui wala kujali yote hayo. Ukimpa huduma mbovu hataangalia umehudumia wateja wangapi vizuri, yeye atakachojua ni kimoja, hujamhudumia vizuri