MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNAVYOJIANDAA KUUMIA…
Kutaka mambo yaende kama unavyotaka wewe na kuona hayawezi kwenda tofauti na hivyo ni kujiandaa kuumia. Kwa sababu dunia haipeleki mambo yake kwa kuangalia matakwa ya watu, bali inatumia kanuni zake yenyewe. Unachoweza kudhibiti wewe ni juhudi unazoweka na mchakato unaofanyia kazi. Kwa upande wa matakeo, yatakuja yenyewe kwa namna