MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2432; Kila kitu ni rahisi isipokuwa kufanya…
2432; Kila kitu ni rahisi isipokuwa kufanya… Kuahidi ni rahisi, Kuweka malengo ni rahisi, Kupanga ni rahisi, Kukosoa ni rahisi, Kuomba ushauri ni rahisi, Kushauri ni rahisi, Kulalamika ni rahisi. Kila kitu ni rahisi, isipokuwa kimoja tu, ambacho ni kufanya. Kuweka juhudi katika kufanya kitu, ili kuleta matokeo ya tofauti,