MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; ISHI MAISHA YAKO…
Sisi binadamu kama viumbe wa kijamii, huwa tunajali sana wengine wanatuchukuliaje. Hilo lilikuwa muhimu kipindi cha nyuma, ambapo tuliishi ndani ya kundi lisilozidi watu 150 wanaojuana. Kama kikundi chako kidogo kingekukataa, huo ndiyo ungekuwa mwisho wa maisha yako. Lakini sasa tunaishi ndani ya kundi kubwa la watu na hakuna mwenye