MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUBADILI MAISHA YAKO, BADILI HADITHI YAKO…
Hadithi unayijiambia kila siku na kuiamini ndiyo inayojenga maisha yako. Kama unataka kuyabadili maisha yako, anza kwa kuibadili hadithi unayojiambia. Tengeneza hadithi mpya inayoendana na kile unachotaka, jiambie hadithi hiyo mara kwa mara na kuiamini. Jipime jinsi unavyoiishi hadithi yako na endelea kuboresha kadiri unavyokwenda. Kwa kusimama kwenye hadithi yako