MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2437; Unahangaika na watu wasio sahihi…
2437; Unahangaika na watu wasio sahihi… Watu ndiyo kazi yetu kubwa kwenye maisha. Tunahitaji kushirikiana na watu mbalimbali kwenye safari yetu ya mafanikio. Watu hawafanani, wana sifa na tabia mbalimbali. Wapo ambao tunaweza kwenda nao vizuri na wakawa na manufaa makubwa kwetu. Lakini pia wapo ambao tunapokuwa nao tunasumbuana sana