MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2438; Pata Pesa Kwanza…
2438; Pata Pesa Kwanza… Huwa kuna picha huwa inazunguka mtandaoni, ikimnukuu Warren Buffett akisema; pesa siyo kila kitu, ila hakikisha unazo za kutosha kabla hujaongea huo ujinga. Nina hakika Buffett hajawahi kusema maneno ya aina hiyo, ila ujumbe huo umekuwa maarufu kwa sababu umebeba ujumbe mkubwa na muhimu sana kuhusu