MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2439; Alama kwamba umefanya wewe…
2439; Alama kwamba umefanya wewe… Kitu chochote kile unachofanya, unapaswa kuacha alama kwamba ni wewe umefanya. Unapaswa kukifanya kwa upekee wa hali ya juu sana, kwa namna ambayo hakuna mwingine anayeweza kukifanya hivyo. Na hilo linawezekana kabisa kama utajitambua wewe mwenyewe na kuchagua kuwa wewe badala ya kuhangaika kuwaiga wengine.