MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2440; Shabiki wako namba moja…
2440; Shabiki wako namba moja… Wewe ndiye unayepaswa kuwa shabiki wa kwanza kwako mwenyewe. Unapaswa kujikubali sana na kujishabikia kwenye yale makubwa ambayo unayafanya. Usiwe shabiki wa wengine au wa michezo mbalimbali kabla hujawa shabiki wako mwenyewe. Usifurahie ushindi wa wengine unaowashabikia na kuona kama ni ushindi wako wakati wewe