MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2441; Kukata tamaa…
2441; Kukata tamaa… Kila mmoja wetu huwa anakutana na hali ya kukata tamaa katiks nyakati tofauti tofauti za maisha yake kulingana na kile anachokuwa anapitia. Hali hii ya kukata tamaa haisababishwi na kile ambacho mtu unapitia, bali inasababishwa na namna mtu unatafsiri kile unachopitia. Kuna mtazamo unaokuwa nao kuhusu unachopitia,