MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2443; Unahitaji kufikiri kwa utofauti.
2443; Unahitaji kufikiri kwa utofauti. Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema ujinga ni kufanya jambo lile lile, kwa namna ile ile halafu kutegemea kupata matokeo ya tofauti. Unaweza kuona hii ni kauli ambayo haikuhusu, lakini hebu itafakari kwa kina. Kuna maeneo ya maisha yako ambayo umekuwa unapata matokeo yale yale, japo