MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2492; Kidogo kidogo halafu ghafla.
2492; Kidogo kidogo halafu ghafla. Mambo yote kwenye maisha huwa yanaanza kidogo kidogo kisha baadaye yanatokea ghafla. Lakini mara nyingi watu huwa hawaoni yanapotokea kidogo kidogo na kuchukua hatua sahihi, wanakuja kushtuka wakati yametokea ghafla na hawawezi tena kuchukua hatua kwa haraka. Hakuna mtu anaamka siku moja na kujikuta kwenye