MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2494; Kuna neno hajasikia.
2494; Kuna neno hajasikia. Nikiwa kwenye sherehe fulani, mshereheshaji alikuwa anatumia njia mbalimbali kuwashawishi watu kutoka kwenye viti na kwenda kucheza muziki. Kwanza alianza kwa kutumia kigezo cha kupendeza, akisema wote mmependeza sana, na kwa kupendeza huko mje kucheza. Akaona siyo wengi wanaotoka kucheza, akasema wale ambao hawatoki hawajapendeza. Bado