2495; Unajua cha kufanya.

By | October 30, 2021
2495; Unajua cha kufanya. Wakati naanza huduma ya ushauri na ukocha, nilidhani watu hawafanikiwi kwa sababu hawajui cha kufanya. Hivyo nilikuwa na haraka sana ya kuwaambia nini wanapaswa kufanya, hasa wanapokuwa kwenye changamoto mbalimbali. Lakini kadiri ambavyo nimeendelea kufanya huduma hii, nimegundua kitu kimoja kikubwa sana. Watu hawafanikiwi siyo kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz