MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2496; Unachokosa siyo unachodhani.
2496; Unachokosa siyo unachodhani. Ni rahisi kuona hujapiga hatua kwenye maisha kwa sababu kuna vitu umekosa. Lakini kwa sehemu kubwa unachokosa siyo kile unachodhani. Unachodhani unakosa ni kikubwa na kilicho nje ya uwezo wako. Lakini unachokosa kwa uhalisia ni kidogo na kipo ndani ya uwezo wako. Hujakosa kipaji, bali unachokosa