2497; Muda, Nguvu, Umakini.

By | November 1, 2021
2497; Muda, Nguvu, Umakini. Rasilimali kubwa tatu unazopaswa kuzitunza na kuzitumia vizuri kama unayataka mafanikio makubwa. Tumezoea kuona msisitizo ukiwekwa sana kwenye muda, jinsi ya kudhibiti na kutumia muda vizuri ili kuweza kufanya makubwa. Lakini siyo muda pekee ambao ndiyo rasilimali yenye uhaba na muhimu kwa mafanikio yako. Kuna nguvu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz