#SheriaYaLeo (1/366); Gundua Wito Wako.

By | November 1, 2021
#SheriaYaLeo (1/366); Gundua Wito Wako. Ndani yako una nguvu kubwa inayokuongoza na kukusukuma kuelekea kwenye wajibu mkuu wa maisha yako. Umekuja hapa duniani ukiwa na wajibu maalumu, wa jukumu kubwa unalopaswa kukamilisha katika miaka utakayoishi. Ulipokuwa mtoto, nguvu hiyo ilikuwa wazi kabisa kwako. Ilikuelekeza kufanya vitu vinavyoendana na asili yako,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz