MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (2/366); Rudi Kwenye Ulichopenda Utotoni.
#SheriaYaLeo (2/366); Rudi Kwenye Ulichopenda Utotoni. Ulipokuwa mtoto, kuna vitu ulipenda sana kufanya au kufuatilia. Hata pale ulipokatazwa au kukatishwa tamaa, bado uliendelea kung’ang’ana na vitu hivyo na hukumsikiliza yeyote. Hilo halikutokea kwa bahati mbaya, bali ilitokana na msukumo wa nguvu kubwa iliyo ndani yako, ambayo ulikuwa unaisikiliza ulipokuwa mtoto.