MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (3/366); Sauti Ya Ndani.
#SheriaYaLeo (3/366); Sauti Ya Ndani. Watoto wadogo huwa wanajua kwa hakika nini wanapenda na nini hawapendi. Huwa hawaigizi maisha na hawafanyi chochote kuwaridhisha wengine. Kama kitu wanakipenda wanafanya, kama hawakipendi hawafanyi. Watoto hao wanaongozwa na sauti kuu iliyo ndani yao, sauti inayotokana na ule uwezo ambao upo ndani yao. Hawafanyi