2500; Wewe Ndiye Mfano.

By | November 4, 2021
2500; Wewe Ndiye Mfano. Kama kuna watu wako chini yako na wanafanya vitu ambavyo huridhiki navyo, kuna mtu mmoja tu wa kumlaumu, wewe mwenyewe. Ni rahisi kuwaona watu wanakuwa mzigo na kukukwamisha. Lakini ukweli ni wao wanaiga mfano wako. Wale walio chini yako, wanaangalia zaidi kile unachofanya kuliko unachosema. Wataiga

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz