2501; Kama nafsi inakataa, isikilize.

By | November 5, 2021
2501; Kama nafsi inakataa, isikilize. Kuna wakati unaweza kuwa na fursa fulani mbele yako, fursa ambayo inaonekana ni nzuri kabisa, lakini nafsi yako inakataa kabisa kuikubali fursa hiyo. Mara nyingi hili hutokes pale unapohitaji kujihusisha na watu fulani. Labda ni kwenye kazi au biashara. Kwa nje wanaonekana ni watu wazuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz