#SheriaYaLeo (5/366); Jua kinachokuvutia na zama

By | November 5, 2021
#SheriaYaLeo (5/366); Jua kinachokuvutia na zama ndani. Kama umefanyia kazi sheria 4 zilizopita, utakuwa umeshajua ni kitu au vitu gani unavyovutiwa sana kuvifanya. Vitu vinavyotokana na sauti yako ya ndani, ambavyo huchoki kuvifanya na upo tayari kuvifanya bila kujali wengine wanasema au kufanua nini. Hivyo ndiyo vitu ambavyo vinatoka ndani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz