2503; Kukusanya Na Kutawanya.

By | November 7, 2021
2503; Kukusanya Na Kutawanya. Mwanga wa jua ukitawanywa unatoa tu mwangaza wa kawaida. Lakini mwanga huo huo ukikusanywa eneo moja, unatoa moto mkali wenye kuweza kuunguza chochote. Nguvu na umakini wako ukivitawanya unaishia kupata matokeo ya kawaida. Lakini ukikusanya vitu hivyo viwili kwenye maeneo machache, unazalisha matokeo makubwa sana. Kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz