2504; Jenga Mahusiano Zaidi.

By | November 8, 2021
2504; Jenga Mahusiano Zaidi. Huwa kuna kauli kwamba haijalishi unajua nini, bali unamjua nani. Sehemu kubwa ya mafanikio yako inatokana na wale unaowajua kuliko yale unayoyajua. Hii ni kusema kwamba mahusiano yako na watu sahihi ni muhimu sana kwenye mafanikio yako. Kwa sababu kama unavyojua, kila unachokihitaji tayari kipo kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz