2505; Siyo Pata Potea.

By | November 9, 2021
2505; Siyo Pata Potea. Kikwazo kikubwa cha watu kwenye mafanikio ni mtazamo wanaokuwa nao. Ndiyo maana unaweza kukuta watu wawili, wanafanya kazi au biashara ya aina moja, mmoja anafanikiwa sana na mwingine anashindwa. Kinachowatofautisha watu hao ni mtazamo. Kuna mitazamo mingi ambayo imekuwa kikwazo kwa wengi kufanikiwa. Lakini mmoja mkubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz