#SheriaYaLeo (9/366); Pata hamasa kutoka kwa mashujaa wako.

By | November 9, 2021
#SheriaYaLeo (9/366); Pata hamasa kutoka kwa mashujaa wako. Kuna watu ambao ukiwaona wanavyofanya kazi zao unapata hamasa kubwa sana ndani yako. Unavutiwa sana na aina ya maisha wanayoishi na yale wanayofanya. Watu hao wanakupa hamasa na msukumo wa kufanya makubwa kama wao wanavyofanya. Hao ndiyo mashujaa wako, ambao ukiwatumia vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz