#SheriaYaLeo (12/366); Kikwazo Ndiyo Njia.

By | November 12, 2021
#SheriaYaLeo (12/366); Kikwazo Ndiyo Njia. Baadhi ya watu huwa inawawia vigumu kujua wito na wajibu wa maisha yao. Wakati watu wengine wana vitu ambavyo kwao ni rahisi kufanya na hivyo kuwa sehemu ya wito, wao wanakuwa hawana kitu cha aina hiyo. Kwa hali hiyo wanaweza kufikiri wao hawana wito au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz