MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (13/366); Bobea kwenye vitu vidogo.
#SheriaYaLeo (13/366); Bobea kwenye vitu vidogo. Pale unapokuwa umekabiliwa na mapungufu badala ya uimara, huu ndiyo mkakati unaopaswa kufanyia kazi; puuza udhaifu wako na kataa ushawishi wa kutaka kuwa kama wengine. Badala yake weka juhudi zako zote kwenye vitu vidogo vidogo ambavyo uko vizuri katika kuvifanya. Usihangaike na mambo makubwa