2516; Makosa yanayojirudia rudia.

By | November 20, 2021
2516; Makosa yanayojirudia rudia. Kwenye kazi au biashara unayoifanya, kuna makosa huwa yanajirudia rudia kila mara. Unaweza kulalamikia makosa ya aina hii, lakini ni fursa nyingine nzuri ya kuboresha kile unachofanya na kujenga mfumo unaozuia hayo yasijirudie. Kwa kila kosa linalojirudia rudia, kaa chini uandike nini kinafanya kosa hilo lijirudie

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz