#SheriaYaLeo (20/366); Ona Ubobezi Kama Ukombozi.

By | November 20, 2021
#SheriaYaLeo (20/366); Ona Ubobezi Kama Ukombozi. Dunia imejaa matatizo mbalimbali, na sehemu kubwa ya matatizo hayo tumeyatengeneza wenyewe. Kutatua matatizo hayo kunahitaji juhudi na ubunifu mkubwa. Kutegemea mazoea, teknolojia na kuwa mwema haitatusaidia. Tunahitaji nguvu ya kuweza kuyatambua matatizo hayo na kutengeneza taasisi mpya zinazoweza kukabiliana na mabadiliko tunayopitia. Ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz