MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (21/366); Kuwategemea wengine ni
#SheriaYaLeo (21/366); Kuwategemea wengine ni tatizo. Hakuna kitu kibaya kama kuweka mategemeo yako yote kwa watu wengine. Utegemezi unakuweka kwenye hatari ya kuathiriwa na hisia hasi kama usaliti, kukatishwa tamaa, kuvurugwa na msongo. Hisia hizi huharibu sana utulivu wa akili yako. Kujitegemea mwenyewe ni muhimu sana kwa utulivu na mafanikio