MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2533; Madhara huonekana baadaye.
2533; Madhara huonekana baadaye. Kwenye safari ya mafanikio na maisha kwa ujumla huwa kuna njia mbili. Ya kwanza ni njia ndefu, ambayo pia ndiyo njia sahihi. Ila njia hiyo inahitaji muda na juhudi kubwa ili kuweza kufika unakotaka. Ya pili ni njia fupi na ya mkato, ambayo pia siyo njia