MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2535; Usichoweza Kuona.
2535; Usichoweza Kuona. Pamoja na kwamba una uoni kamili, kuna vitu ambavyo huwezi kuviona. Kuna upofu ambao kila mmoja wetu huwa anao. Kuna mambo ambayo yanakuwa wazi kabisa kwa wengine, yanaonekana vizuri kabisa, lakini kwako ni giza tupu. Watu wanaweza kudhani unapuuza, kumbe kwako ni upofu kabisa. Ukiwa chini, upofu