MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2536; Makubaliano ya kuridhishana.
2536; Makubaliano ya kuridhishana. Kwenye maisha na shughuli mbalimbali huwa tunakutana na hali za kutokukubaliana kwenye mambo mbalimbali. Kutokana na uelewa, imani na mazoea tofauti ambayo watu wanayo, kwenye jambo moja watu wanaweza kuwa na mtazamo au maoni tofauti. Kila mtu ataona upande wake ndiyo sahihi zaidi na kuamini upande