MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2537; Fursa mchepuko.
2537; Fursa mchepuko. Nimewahi kuandika kwamba hofu ni lile unachokiona pale unapoondoa umakini wako kwenye ndoto zako kubwa. Leo nakwenda kuongezea hilo kwamba unaziona fursa mchepuko pale unapoondoa umakini wako kwenye ndoto zako kubwa. Fursa mchepuko ni zile fursa zinazoonekana kuwa nzuri na zenye manufaa sana kwako, lakini ili uzifanyie