#SheriaYaLeo (41/366); Jifunze Kutoka Kwenye Kila

By | December 11, 2021
#SheriaYaLeo (41/366); Jifunze Kutoka Kwenye Kila Kitu. Kila jukumu unalopewa au kuwa nalo linakupa fursa ya kujifunza kuhusu kile unachofanya, watu na dunia kwa ujumla. Hakuna jukumu ambalo halina fursa hiyo ya kujifunza na hakuna taarifa ndani ya kitu ambazo ni ndogo na zisizo na uzito. Kila kitu unachosikia au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz