2539; Kujiridhisha kwa kujidanganya.

By | December 13, 2021
2539; Kujiridhisha kwa kujidanganya. Mambo mengi yanayotukwamisha na kutuangusha huwa hayatokei kwa kushtukiza. Bali yanakuwa na visababishi vinavyojulikana na ambavyo vipo wazi kabisa. Lakini mtu unachagua kutokuona visababishi hivyo, kwa sababu ukweli unaumiza. Hivyo unachagua kujiridhisha kwa kujifanganya. Ni pale unapojiambia utafanya kitu kesho au baadaye. Ukweli ni huna muda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz