SheriaYaLeo (43/366); Rudia rudia kufanya.

By | December 13, 2021
SheriaYaLeo (43/366); Rudia rudia kufanya. Mfumo wa elimu unafundisha vitu kwa nadharia, kwa mwanafunzi kusoma na kufanya mitihani. Katika kipindi chote cha elimu mwanafunzi anajifunza kwa kupewa maarifa na taarifa tu. Haishangazi kwa nini mwanafunzi anapohitimu masomo na kwenda kwenye dunia halisi anajikuta hakuna anachoweza kufanya. Anaweza kuwa na vyeti

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz