2540; Umakini uliogawanyika.

By | December 14, 2021
2540; Umakini uliogawanyika. Akili zetu zina uwezo mkubwa sana. Lakini uwezo huo unaweza kufikiwa kama umakini wa akili utawekwa kwenye kitu kimoja kwa wakati. Pale umakini wote unapowekwa kwenye kitu kimoja, uwezo wa akili unawezesha kifanyike kwa viwango vya juu sana. Lakini pale umakini unapogawanyika, nguvu na uwezo wa akili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz