#SheriaYaLeo (44/366); Jinsi ya kujifunza haraka na kwa kina.

By | December 14, 2021
#SheriaYaLeo (44/366); Jinsi ya kujifunza haraka na kwa kina. Unapoingia kwenye mazingira yoyote mapya, wajibu wako ni kujifunza mambo mengi iwezekanavyo. Ili kufanikisha hilo, unapaswa kurudi kwenye hali ya utoto, kwa kuona kwamba watu wengine wanajua kuliko wewe na unategemea kujifunza kwao ili na wewe uweze kubobea. Unapaswa kuweka pembeni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz