MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (45/366); Ufuate Ukinzani.
#SheriaYaLeo (45/366); Ufuate Ukinzani. Sisi binadamu huwa tuna tabia ya kukimbia mambo ambayo ni magumu na yenye maumivu. Tunapenda kufanya yale ambayo ni rahisi kwetu na yasiyoonyesha udhaifu wetu. Kwa njia hii, tunashindwa kujijengea ubobezi, kwa sababu tunakuwa tumeweka nguvu na umakini wetu kwenye maeneo machache na ambayo ni rahisi