MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2542; Tiba Muda.
2542; Tiba Muda. Kuna mambo unaweza kuwa unalazimisha yawe kwa namna fulani lakini inashindikana. Unaweka juhudi za kila aina ili kupata matokeo unayotaka lakini inashindikana. Unaamua kuachana nayo kwa muda na baadaye unakuja kugundua yamejitatua yenyewe na matokeo yamepatikana bila hata ya kuhangaika sana. Muda ni tiba ya mambo mengi